Acts 9:3-6

3 aBasi akiwa katika safari yake, alipokaribia Dameski, ghafula nuru kutoka mbinguni ikamwangaza kotekote. 4 bAkaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, “Sauli, Sauli, mbona unanitesa?”

5 cSauli akajibu, “U nani wewe, Bwana?”

Ile sauti ikajibu, “Mimi ni Yesu unayemtesa.
6 dSasa inuka uingie mjini, nawe utaambiwa yakupasayo kutenda.”

Copyright information for SwhNEN